B-NEWS

Wasanii wanaowania tuzo ya wimbo bora wa mwaka TMA

Tuzo za TMA 2023

Katika kipengele cha Wimbo Bora wa Mwaka, wasanii wanaowania tuzo hiyo Ya TMA ni:

– Diamond Platnumz – Yatapita
– Alikiba – Mahaba
– Zuchu – Honey
– Harmonize – Single Again
– Jay Melody – Baridi

Kwa mtazamo wako, unadhani nani ataibuka na tuzo hiyo kati ya hawa?

Jiunge Kwenye Group Letu La Telegram Kwa
Habari Moto Moto Za Wasanii Na Ngoma
Mpya Kila Siku Bongo Fleva Na Singeli
link apo chini :

https://t.me/+5FGnp2nNI-o1ODNk
https://t.me/+5FGnp2nNI-o1ODNk
https://t.me/+5FGnp2nNI-o1ODNk

 

Leave a Comment