G Nako kwa kushirikiana na malkia wa Bongo Flava, Zuchu, wametuletea ngoma mpya inayoitwa Hapo. Hii ni audio inayobeba ujumbe wa kimahaba, na mdundo wake unavutia kuanzia sekunde ya kwanza hadi mwisho. Ni moja ya nyimbo zinazotarajiwa kutikisa anga la muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Related : D Voice ft Zuchu – Baby Mpya
Wimbo huu umetayarishwa kwa ubora wa hali ya juu, na unaweza kuusikiliza moja kwa moja au kudownload kupitia link iliyo hapa chini. Mashabiki wa G Nako na Zuchu watafurahia kolabo hii ya kipekee iliyojaa hisia kali. Usisahau kushare na kuacha maoni yako!