EP : Killy Tz – The Green Light
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Killy Tz, amerudi kwa kishindo kupitia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la The Green Light. EP hii imejaa ladha kali na usanii wa hali ya juu, ikionesha ukuaji wa Killy kimuziki na uwezo wake wa kushirikiana na wakali wengine wa Bongo.
Related : Diamond Platnumz Ft. Bien – Katam
EP hii ina ngoma kali kama:
- Killy Tz ft. Christian Bella – Niambie Download
- Killy Tz – Ilete Download
- Killy Tz – Vumilia Download
- Killy Tz – Itafika Download
- Killy Tz ft. Ibraah – Kiuno Download
- Killy Tz x Harmonize – Ni Wewe Download
Stream The Green Light Ep By Killy Tz
Related Posts: