BONGO FLEVA

Nazama lyrics By Jay Melody

Join WhatsApp Group WhatsApp Logo Join WhatsApp Group for New Song
Nazama lyrics By Jay Melody

Jay Melody – Nazama Download Mp3

lyrics

Mmmh once again
Mmmh naitwa once again
Onaah nananaaah

Mapenzi ya usiku Sio kama ya mchana
Usiku kigiza flani Mchana tunaonana
Halafu kipaji anhaa Amempa maulana
Ananionesha michezo ambayo sijawahi ona

Kwisha kabisa
Mwenzenu ananimaliza
Huu ufundi kapatia
wapi Mbona anapitiliza

Kwisha kabisa
jamani Anamiujiza
Penzi kalichomea ubani
Utamu tu ananipa

Mwenzenu nazama
Mi sijui nifanyeje
Sjui mimi
Sijui nimekuaje
Sijui mimi
Nimekua kama bwegee
Mwenzenu
Naenjoy mwenyewe olaah

Verse2
Hivi kwanini ukiitwa honey
Unasikia raha mpaka ndani oh
Hadi unatamani
uiskie milele maishani
Namaanisha sio utani
Huu upendo umenipa amani
Wengine wanafika mbali
Eti mapenzi majani